
35,960 views
Katibu mkuu wa cha cha ODM Edwin Sifuna amefichua siri kwamba aliyekuwa seneta wa Kakamega Boni Khalwale alipoteza mamilioni ya pesa baada ya kujipata mashakani kwenye uchaguzi mdogo wa Kibra uliopita #BoniKhalwale #KibraByElection #EdwiniSifuna