
2,650 views
Gavana wa kaunti ya Machakos Dr Alfred Mutua ametetea vikali matamshi ya Raila odinga kuhusu uaminifu wa wanawake wa ukambani na kuwasuta wale wanaoibua madai kwamba aliwadhalilisha wanawake wa ukambani #DrAlfredMutua #VincentAteya #MelodySinzore #JamboKenya