
1,588 views
Gavana wa kaunti ya Machakos Dr Alfred Mutua ametoa sababu za kuunga Raila Odinga mkono na ni kwa nini yeye alimpigia debe mgombea wa ODM Imran Okoth Kwenye uchaguzi mdogo wa eneo bunge la kibra #ImranOkoth #RailaOdinga #AlfredMutua #JamboKenya