
881 views
Jaji Mkuu nchini David Maraga asema huenda akususia majukumu yake yakikatiba kufuatia kile anachokitaja kwamba kunyanyaswa na watu wakuu serikalini hujuma na njama fiche ya kumuondoa afisi kabla ya mwisho wa mwaka huu #DavidMaraga #SupremeCourt #Kiakao