
5,972 views
Jaribio la kutaka kuibia mitihani ya kitaifa katika kaunti ya Kisii, Homabay na migori imetibuliwa huku zoezi hilo likiingia siku yake ya kwanza hii leo .Hii ni baada ya waziri wa Elimu nchini George Magoha kuwaonya vikali watakaojaribu kuibia mitihani hiyo kwamba watachukuliwa hatua kali kulingana na mujibu wa sheria#GeorgeMagoha #KCSE2019 #MinistryOfEducation