
369 views
Shirika la madaktari wa Kanisa Katoliki nchini (KCDA) limejitokeza na kupinga vikali mpango wa serikali kuwapa wasichana wa umri wa miaka 10 chanjo dhidi ya virusi vya HPV viinayosababisha saratani ya uzazi #HPVVaccine #MinistryOfHealth #JamboKenya