
51,172 views
Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu alijipata katika hali ya taharuki baada ya kutimuliwa kutoka serehe ya mashujaa iliyoandaliwa mnchini mombasa katika uga wa Mama Ng'ina waterfront .Hii ni baada ya Waititu kukaa katika kiti ambacho hakuwa ametengewa yeye #FedinandWaititu #MashujaaDay #JamilaMohamed #FrancisGachuri