
6,154 views
Kwenye kitengo cha #Barazani Jared anaomba ushauri baada ya kupata ujumbe wa M-pesa kwenye simu ya mke wake ambao ulitoka kwa nduguye wa toka nitoke, Sasa Jared anashuku kwamba huenda nduguye anamezea mate mke wake na ndio maana anajitolea kumnunulia chakula cha mchana cha Ksh 3,000 #InspektaMwala #MelodySinzore #VincentAteya