
32,971 views
Mtangazaji Melody Sinzore wa kipinndi cha Radio Radio Citizen maarufu kama #JamboKenya hii leo amepata wakati mgumu kujifunza lugha ya mtaani yaani SHENG mikononi mwa magwiji wa lugha hiyo ambao pia ni watangazaji wa kipinda cha vijana cha #WaksTikiTaka #ShattaBway Na #AnnQTee #TupigeGumzo