
41,480 views
Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Rose Muhando afunguka kuhusu maisha aliyopitia mikononi mwa meneja wake, Kama vile kupoteza mali yake na madai ya kutumia dawa za kulevya #RoseMuhando #YesuKaribuKwangu #Walionicheka