
1,577 views
Rubani na mtawala wa trafiki wamejiunga na wakenya wote kumtakia Mkenya anayeshikilia rekodi ya mbio za marathon duniani Eliud Kipchoge kila la heri , Kipchoge amewasili mjini Vienna, Austria kwa mbwembwe akiwa kwenye ndege maalum, akitarajiwa kushiriki mashindano ya INEOS #INEOS159Challenge #KipchogeINEOSChallenge #RadioCitizen