16,369 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 8 Oct 2019
7:43
Ni siku 9 baada ya gari walimokuwa Mariam Kigenda na mwanawe Amanda kutumbukia bahari Hindi hadi wa leo shughuli za uopoaji zimetatizika pakubwa bila kuzaa matunda yoyote #KikaoChaJamboKenya #LikoniFerryTragedy #AliHassanJoho