
61,751 views
Kwa mara ya Kwanza mtangazaji mahiri wa kipindi cha #JamboKenya katika Radio Citizen maarufu kama Melody Sinzore ameoneka kusitisha uhasama kati yake na mtangazaji mwenza Inspekta Mwala baada ya kumnunulia viatu vya bei ghali #MelodySinzore #InspektaMwala #VincentAteya