
251 views
Waziri wa Elimu Prof George Magoha amefunga shule kadhaa kwa kuwa miundo musingi yao sio thabiti kwa masomo ya wanafunzi, Lakini swali kuu ni je,Wale wanafunzi ambao wanasomea chini ya miti kaunti ya Baringo ni makosa ya nani? #ProfGeorgeMagoha #BaringoCounty #FrancisGachuri