
4,501 views
Mama na mwanawe wafariki maji baada ya gari walimokuwa wamegesha ndani ya feri katika kivukio cha likoni kuteleza na kuingia baharini,Hadi tulipokuwa tukienda hewani mili ya wawili hao bado haijatolewa baharini #IndianOcean #ChristineOjiambo #LikoniFerry