883,972 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 30 Sep 2019
7:47
Kwa mara ya kwanza Muigizaji na mtangazaji mashuhuri kama Inspekta Mwala aeleza mateso aliyopitia akiwa mchanga kama mtu mfupi #InspektaMwala #JeridahAndayi #MelodySinzore