
367 views
Ni mkasa ambao uliwacha wengi vinywa wasi baada ya wanafunzi 8 kufariki katika shule ya Precious Talent kutokana na kuangukiwa na vifusi vya shule hiyo na wengine zaidi ya 60 kuachwa na majeraha kadhaa #DagorettiTragedy #PreciousTalent #FranchisGachuri