557 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 23 Sep 2019
3:28
Msanii Kush Tracey awafokea na kuwatupia cheche za maneno maadui wake wa kimuziki wanaomkashifu kwa kutangaza kwamba ameokoka na kisha baadaye kufanya collabo na na wasanii wa secular #KushTracey #Kristoff #WillyMTuva