12,542 views
Pambazuka on Radio Citizen
Aired 19 Sep 2019
2:41
Mwana muziki matata Akothee amezua kizaa zaa Bungeni baada ya kukatazwa kuingia Bungeni akiwa amevaa Min-Sketi #AkotheeKenya #NationalAssembly #DavidOleSankok