16,838 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 13 Sep 2019
2:57
Mtangazaji mahiri wa Radio Citizen kipindi Roga Roga maarufa kama Uncle Fred Obachi Machoka aliwashangaza wengi alipoingia ghafla studioni asubuhi na kuzua Inspekta sarakasi ya kipekee #Kidumu #UncleFredObachiMachoka #InspektaMwala