26,957 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 11 Sep 2019
6:30
Mgombea wa kiti cha ubunge eneo la Kibra kupitia tikiti ya ODM Imran Okoth amefichua makubwa kumuhusu nduguye na kuwahakikishia Wanakibra maendeleo kama alivyotaka nduguye Kenneth Okoth #ImranOkoth #KibraByElection #ODMParty