
1,366 views
Yapo madai kwamba kinyanganyiro cha uchaguzi mdogo wa kibra ni kati ya Raila odinga na naibu wa Rais William Ruto ikikumbukwa kwa Raila amekuwa mbunge wa eneo hilo kwa muda mrefu na ivyo inaaminika kuwa eneo bunge la Kibra ni Ngome yake kisiasa #RailaOdinga #WilliamRuto #McDonaldMariga