
492 views
Msanii Kristoff amejipata babaya baada ya kufumaniwa na mpenziwe akiwa na Kush Tracey. Kwenye video ambayo imesambaa na kuzagaa kwenye mitandaoni inaonyesha wawili hao wakiwa wameshina mikono huku wakitoka kwenye chumba fulani hivi cha burudani #KristoffKenya #VyonneDarcq #KushTracey