1,277 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 9 Sep 2019
6:38
Fredrick Shitubi ndiye mwalimu bora kote nchini kwa mujibu wa Tuzo za TOYA zilizoandaliwa mjini Mombasa. Hii leo kwenye #JamboKenya tumesema naye ili kujua siri ya mafanikio yake kwa jumla #TOYAAWARDS #FREDRICKSHITUBI #STMARYSYALA