
8,051 views
Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amesema kwamba chama kiko tayari kupokea upinzani wowote ila anatarajia Johnson Sakaja kushawishi chama cha Jubilee kutotoa mgombea yeyote kwa heshima ya mwenda zake Ken Okoth alivyosema hapo awali #KenOkoth #KibraBy-Election #EdwinSifuna