
195 views
Shughuli ya kuhesabu watu nchini maarufu kama Sensa ikitarajiwa kungoa nanga hivi karibuni,Wakenya kutoka maeneo mbali mbali wanaitaka serkali kuwahakikishia usalama wao wakati shughuli hiyo itakapoanza kote nchini. #Sencus2019 #JamilaMohamed #FrancisGachuri #