1,975 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 16 Aug 2019
2:22
Msanii maarufu kama Mike Rua ameibuka na mbinu nyingine ya kuelezea uhofu katika jamii au mateso ambayo wanaume wanapitia mikononi mwa ''Sugar Mummy'' kwa kutumia uimbaji wake #MikeRua #KIARIE #JeridahAndayi