
106 views
Zikiwa zimesalia siku chache tu shughuli ya kuhesabu watu kuanza kote nchini , vijana kutoka eneo la Mogotio kaunti ya Baringo wameapa kutatiza shughuli hiyo kwa kile wanasema kwamba shughuli ya kuajiri watu watakao fanya kazi hiyo haikufanywa kwa njia ya uwazi na waliopewa kazi hiyo ni wazee na watu ambao wana kazi . #BaringoCounty #Census2019 #RadioCitizen