
342,628 views
Kwa Mara ya kwanza kabisa msanii na muigizaji maarufu Charles Bukeko amewakemea wanablogi ambao usambaza habari za uongo kwamba amefariki dunia na kuwataka kutumia mitandao ya kijamii ili kujinufaisha maishani #PapaShirandula #InspektaMwala #MelodySinzore