
21,370 views
Vita vya maneneo kati ya Gavana wa Nairobi Mike Sonko, Isaac Mwaura na Millie Odhiambo vimechukuwa mkondo mwingine kwenye mitandao ya kijamii, hii ni baadha ya Mike Sonko kumwaga mtama mbele ya halaiki wiki iliyopita kwenye hafla ya kumuaga aliyekuwa mbunge wa Kibra Ken Okoth #IsaacMwaura #MikeSonko #MillieOdhiambo