
160 views
Waziri wa fedha Henry Rotich anatuhumiwa kukiuka muongozo wa utoaji wa kandarasi iliopewa kampuni ya Italia CMC de Ravenna yenye thamani ya zaidi ya dola milioni 450 kwa ujenzi wa mabwawa ya Arror na kimworer #Kimworer #Arror #CsHenryRotich