
131 views
Taifa la Kenya kwa jumla linaomboleza kifo cha mwanakandanda mkongwe maarufu kama kadenge na mpira huku viongozi mbali mbali bila kusahau aliyekuwa mwendani wake T9 wememtaja kadenge kama mtu mcheshi ana aliyetaka Kenya kukuza vipaji vya kila nui nchini #KadengeNaMpira #JoeKadenge #T9 #SportsMinistry