270 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 12 Jul 2019
5:17
Msanii wa nyimbo za injili kutoka magharibi mwa Kenya Timothy Kitui amewashangaza wengi baada ya kumtaka Diamond Platnumz kuokoka kisha washirikiane kutunga Nyimbo za injili #DiamondPlatnumz #TimothyKitui #RadioCitizen