1,593 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 23 May 2019
5:09
Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu anatarajiwa kufika tume ya kupambana na ufisadi nchini, EACC, baada ya maafisa kufanya msako nyumbani kwake. #JamboKenya #KiambuCounty #FerdinandWaititu