873 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 3 May 2019
3:30
Wanahabari wa Kenya wajiunga na wenzao kote ulimwenguni siku hii ya uhuru wa wanahabari huku vitisho kwa wanahabari vikiripotiwa kaunti mbali mbali nchini #DiraYaRadioCitizenFm #UhuruWaWanaHabari