291 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 24 Apr 2019
14:06
Wakazi wa Baringo inafaa wafunzwe jinsi ya kuvuna maji kwa matumizi ya baadaye,La sivyo makali ya njaa yataendelea kuyakeketa matumbo yao miaka nenda miaka kuja. #BaringoCounty #BaaLanjaaBaringo #GladwellCheruiyot