
618 views
Kwa miaka mingi humu nchini Kenya kumekuwa na upinzani mkali hali ambayo ilionekana kuweka mambo sawa katika taasisi mbali mbali ,Lakini tangia kukumbatiana kwa Raisui Uhuru Kenyatta hali si hali tena na wakenya wanasema ni kanakwamba hakuna upinzani tena. #CorruptionInKenya #ChinaLoans #KikaoChaJamboKenya