
379,727 views
4 Dec 2024
Kristoff MWB & @TrioMioOfficial performing their latest single 'Asubui Na Mapema'. ASUBUHI NA MAPEMA LYRICS Kristoff MWB X TrioMio Intro King wa banger nimerudi na ubaya Nimerudi na zawadi toka pande za ulaya Walithani nimeretire , Kumbe mi Ndo wana require, Mina Leta vitu fire kwa ,hii business. Eeeh yaaah Asubuhi na mapema zimeshika, N'toe lock nimetema tuma litre, Wajakoya Wajakoya jaza rizzler, Usinyonge tuma text taja sista, Siku njema huonekana after giza. Nikitema nawateka na mirista Pararira early morning keep a distance Kama ibada nikiamka ni mambichwa. CHORUS ONE Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema x2 Napokea salary asubuhi na mapema X2 Ndani ya bar niko tayari asubuhi na mapema X2 Nachapa dame ana zirai asubuhi na mapema X2 Wanalalisha tuki rise Tuko on asubuhi na mapema Tuko on!! asubuhi na mapema Changamka Changamka ,tuko on asubuhi na mapema Tuko on!! asubuhi na mapema VERSE KristoffMwb Early bird kwa streets, Ndo uwanga tu my norm, Juu ndege za asubuhi, Ndo uangukianga ma worm Nyege za asubuhi ni za mtoto ananikeep warm, Niko na ngede wa asubuhi , Lunchtime mpaka jioni. No time to waste, ni Go time So nta spend more time US na bow tie, Kwa event na ma boss sawa, Wanatambua kristoff sana Boss sawa (saawaaaa) Wahenga wa skuizi wanaleweshwa na best, Baridi inampiga na ame dunga ka vest Miti imemshika ana ji feel the best, Na advice, za ujinga anatry kutu impress. CHORUS 2 Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema x2 Napokea salary asubuhi na mapema X2 Ndani ya bar niko tayari asubuhi na mapema X2 Nachapa dame ana zirai asubuhi na mapema X2 Wanalalisha tuki rise Tuko on asubuhi na mapema Tuko on!! asubuhi na mapema Changamka Changamka ,tuko on asubuhi na mapema Tuko on!! asubuhi na mapema VERSE TrioMio Yah cheki Juzi nmefukuza ngeus asubuhi na mapema Nilikakula na nawish ningeeza tema Nilikateka na lighting ya pale bukla unafika kwa nyumba dem anafanana Chaka Demus Mapema ndo best, asubuhi ina kismet Kabla umeditate, unaasha mali fisa Ikuondolee mapepo na swara zimekuzingra Stick ya ngware simba ni imara utanyora Pilsner Fixture, mechi ni early kickoff Morning glory scripture, Father Benedicto Misa ni ya kwanza wamtume Trio kwa tiplo Asubuhi mapema dem yako anagongwa ndipooo. CHORUS 3 Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema x2 Napokea salary asubuhi na mapema X2 Ndani ya bar niko tayari asubuhi na mapema X2 Nachapa dame ana zirai asubuhi na mapema X2 Wanalalisha tuki rise Tuko on asubuhi na mapema Tuko on!! asubuhi na mapema Changamka Changamka ,tuko on asubuhi na mapema Tuko on!! asubuhi na mapema