
536 views
Moodkai Asapa and Mr. PRAISE JUNIOR
18 Apr 2021
SONG : Pumuzisha ARTIST : Moodkai Asapa x Praise Junior SONG WRITER / COMPOSER : Moodkai Asapa AUDIO PRODUCTION : Kaya The Gr8 & K6 on the Beat VIDEO PRODUCTION : Kaya The Gr8 & Wesonga Dush PROJECT MANAGER : Moodkai Asapa EXECUTIVE PRODUCERS : Moodbeats Empire & Sound 34 Media FOR BOOKINGS CONTACT : 1. Email ; moodkai@gmail.com 2. Phone ; +254729719941 SONG LYRICS. Intro : Ye ye ye Ye ye ye Oh Wo wo wo wo Bwana asema, Njooni kwangu nyote mnao sumbuka na mizigo mizito, Ah. Chorus : Asema njoo, njoo Uliyelemewa na mizigo mizito Asema njoo, njoo Uliyelemewa na mizigo mizito Atakupumu - zisha ah Atakupumu pumu - zisha ah Atakupumu uu - zisha ah Atakupumu apumu - zisha aaah Verse 1 : Mwambiye ni nini kinacho kutatiza, Mweleze na yeye ataku sikiliza, Kumbuka yule mama 'letokwa na damu miaka kumi na miwili, alipo guza vazi la Yesu uu, akapona ah, Ukimwita Bwana anasikia ah, Ukimwomba Yeye, anakujibu u. Ukimwita Bwana ah, anasikia ah Ukimwomba Bwana ah ah anajibu uuu Chorus : ...... Verse 2 : Karibu kwa Mungu ataku pumuzisha karibu kwa Bwana utapumuzika Oe karibu kwa Mungu ataku pumuzisha karibu kwa Bwana wewe utapumuzika Matatizo yako oooh, atakupumzisha Na shida zako mama, atakupumzisha Stress ulizo nazo dada, atakupumzisha Shida zako zote , atakupumzisha Chorus : ....