
1,422 views
17 Feb 2021
Swahili worship song as written, produced and performed by Pascal Bill. Video: Xperience Media Album will be available soon on digital platforms. Lyrics Walinikosea kanitenda mabaya nikawachukia Nami nimeshindwa kuwasamehe wasinione mi mnyonge Ila mi husahau mi mkosaji Pia mi husahau baba ulinisamehe Ila nashindwa kuwasamehe Machungu yamenitia upovu Ni msamaha Utafaidi moyo wangu Nisaidie baba Niliomboleza muda nilopoteza Nikiwafurahisha Lakini wanikumbusha Huo muda haukupotea Upendo hushinda Nina makosa mengi mimi mwenye dhambi Maneno niliyosema yaliwaumiza Ingekuwa mi ningetaka msamaha Nimewasamehe baba..