
13,488 views
Maluda feat Anne Naima
10 Oct 2017
DON'T FORGET TO SUBSCRIBE!!!! NISHAMPATA SINGLE SPEAKS ABOUT GODS GOODNESS IN GOOD TIMES AND IN BAD. HIS GOODNESS ALWAYS WINS. Produced by: LIMELIGHT BEATS Recorded at:NYNP Video shot and Directed by More media Purchase and Stream on Wabeeh here: https://waabeh.com/maluda/nishampata/1 Connect with me here: Facebook: https://www.facebook.com/Maluda254 Twitter: https://twitter.com/MALUDA254 Instagram: https://www.instagram.com/maluda254/ Chorus sang by Anne Naima: https://www.facebook.com/nifla.naima.101 NISHAMPATA LYRICS (SING ALONG AS YOU LISTEN) Ako nami ako nami Nishampata nishampata mpenzi wa ukweli Kwenye shida na raha ako nami Mpenzi wa ukweli Nikiona pali Mungu umenitoa Nashukuru vile umeni okoa Mia kwa mia thao kwa thao Umeni arrest uta fikiri karao Nikiangalia vile umeni raise Sina budi ili mi kukupa praise Ndio maana nawa gonga na ma one two Ndani ya Yesu hakuna Nilot ama Bantu Umenipenda nani najua penzi lako la hakika Umeni jaza nani alafu ndio maana nakatika Ye rafiki wa dhati anami anipa amani kila wakati Ye rafiki wa dhati anami anipa amani kila wakati Ahhh hakuna pali naishia umeniweka safe hakuna kitu na fear Ukipanda nina didimia na kwa neno lako nina ninginia Jesus! we ndio king of kings hao wengine wanabee we ndio prince of peace Na najua niki omba unani skia roho yangu basi mi nakupa mia [CHORUS] Nishampata nishampata Mpenzi wa ukweli Nishampata nishampata Mpenzi wa ukweli Kwenye Shida na raha ako nami Mpenzi wa ukweli Nishampata nishampata Mpenzi wa ukweli VERSE TWO Ananipenda hata kama nime sota Q ta C bro mi sirudi ocha Mia kwa mia thao kwa thao ameni arrest utafikiri karao Neno lake ndio mi nategemea na vile atasema ndio mi na endelea Neno lake ndio mi nategemea na vile atasema ndio mi na endelea Umenipenda nani najua penzi lako la hakika Umeni jaza nani alafu ndio maana nakatika Ye rafiki wa dhati anami anipa amani kila wakati Ye rafiki wa dhati anami anipa amani kila wakati Ahhh mi nasifu niki dance tu, nipate niki praise ma hands tu Nashukuru pali God umeni toa, Nashukuru God umeniweka poa Mi sijali hata wakini debate, nitakusifu hadi nikuwe the late Mi sijali hata wakini debate, nitakusifu hadi nikuwe the late [CHORUS] Nishampata nishampata Mpenzi wa ukweli Nishampata nishampata Mpenzi wa ukweli Kwenye Shida na raha ako nami Mpenzi wa ukweli Nishampata nishampata Mpenzi wa ukweli