
11,158 views
21 Nov 2014
Neema atazindua cd yake ya "Tunaye Bwana" 21/12/2014 DCT Tabata kuanzia saa nane mchana, usikose kuhudhuria. Mambo yatakuwa live, na pia atasindikizwa na Atosha Kissava, Mc Joshua Makondeko, Bomby Johnson, Sarah Mvungi, Peter Azenze, Peter Lusse na wengineo. Wataarifu na wenzio, share hii video iwafikie na kuwabariki wengine pia.