
4,337 views
17 Sep 2020
Hakuna siku Equity watakupigia simu kukuitisha confidential information kama PIN yako ama ata ile One Time Pin (OTP). Equity watakupigia via 0763 000 000 na ukipigiwa na namba ingine yeyote waseme wametoka Equity, forward hio number to 333. #OneEquityNumber #NumberYaEquity
