98 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 16 Oct 2026
2:11
Bei ya mafuta imepanda tena nchini, hali inayotarajiwa kuathiri nauli za matatu na bei ya bidhaa muhimu. Wakenya sasa wanahofia kuongezeka zaidi kwa gharama ya maisha.