
248 views
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Hayati Baba Raila Odinga, ushawishi wake kisiasa bado unaendelea kuonekana nchini. Huku viongozi wa kisiasa wakivutana kuhusu urithi wake na mustakabali wa chama cha ODM. Jinyakulie gazeti lako la The Standard, Kenya's Bold Newspaper, katika duka lililo karibu nawe!