
18,376 views
28 Apr 2023
#Rahisi #kakaempireisthelifestyle #FemiOne A Kaka Empire 2023 presentation. Audio Produced by Sifa for Kaka Empire Studios Video created By Pete Designs Single off the Dem Kutoka Mwiki EP LYRICS Verse: (Femi One) Naskia fununu chemi chemi za mitaa Wameshindwa kunihandle wanasema Femi'n star akuna news apa unoma mi inakwanga imenifaa.. Queen tangu Roma ichukue league ya Serie A - Mkiwa juu ya kemikal na mashimi shimi ya skss skss minko rikoo nawapikia mabidhaa Mama yao nmelelewa na Zakaa wa ukoo flan Mi ndo culture na ndo maana mi na wao hatsikilizan Naifanya easy uski nai fanya rahisi Game nimekafunga ndo ni shamba ya rizki Uno ka nko ndani ujue inakwanga mazishi Naikula, naikunywa na naiwasha na zigi Nakumbuka tukikopa mapeni Leo naquote mamita kuwaroga wikendi Hii mchezo nilianzanga bila kocha na jezi Femi one mama theirs na nasonga vimessi Chorus ; Raisiiiii naifanya rahisi …. Stingo zangu different kama jersey ya keeper Quality consistent cheki kazi inajipa Mashabik nna kibao unaeza dhani Madiba N'julikana sekta zote mashinani naskika - Mr.Punchlines, mi ni ka Mandonga na strong hook N'shakata mafala na manyoka kwa phone book Kateenager kako na title deed na log book Nyi mlikwa mnastikisha wasanii kwa song book (huh) Kumechemka na your favourite star Trio Mio, nani alidhani ningemake this far? - Niliwaachia kalesa nimepull ndani ya KCR The boy is sick wanafaa wan'peleke MP Shah... Nakumbuka tukisota madeni Leo nachapa interviews nabonga na wengi Mechi nilianzanga bila kocha na jezi kakijana machachari nawatoka vimessy - Rahiiiiiiisi