Elimu ya msingi na sekondari bila malipo yapata pigo kubwa baada ya mgao wake kupunguzwa

  • | K24 Video
    95 views

    Elimu ya msingi na sekondari bila malipo imepata pigo kubwa baada ya mgao wake kupunguzwa kutoka shilingi bilioni 71 katika bajeti ya mwaka huu wa kifedha hadi shilingi bilioni 58.9 mwaka ujao unaoanza mwezi ujao. Haya yanajiri licha ya sekta ya elimu kupokea sehemu kubwa ya bajeti ya shilingi trilioni 4.2.