
244 views
Katika Kitengo cha Kero Lak oleo hii tunaliangazia kero la wakazi wa eneo la Losesia katika Kaunti ya Samburu kufuatia kuuliwa kwa mifugo wao wakati wa oparesheni ya kuwakabili washukiwa wa wizi wa mifugo. Mwanahabari wetu kwenye kaunti hiyo, Vincent Nakwaka amezungumza na wakazi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited