
80 views
Katika Makala ya Jasho Langu, Riziki Yangu, ambayo hukujia kila siku ya Jumanne saa moja asubuhi, leo tunakupeleka katika sekta ya usafiri, kumwangazia Caro Mutuku mkazi wa Jijini Nakuru, ambaye kwa miaka 12 amejitosa katika sekta hiyo, akijenga jina lake kwa heshima, nidhamu na utu. Safari yake si ya kawaida. Kwa kujituma na kuwahudumia wateja ambao ni wasafiri kwa weledi, Caro amefanikiwa kujitengenezea nafasi katika sekta ya usafiri, hadi kutwaa tuzo zinazotambua mchango na juhudi zake. Mwanahabari wetu Enaeli Mlinga amezungumza naye Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited