
90 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaliangazia kero la wakazi wa Magadi kwenye Kaunti ya Kajiado kuhusiana na uhaba wa maji safi ya kunywa katika eneo hilo. Licha ya kwamba Kampuni ya Tata Chemicals iliyofungwa ilikuwa ikihusika kwa kiasi fulani kusambaza maji kwenye eneo hilo, baadhi ya wakazi wanalalamika kwamba haikuwekeza vya kutosha katika huduma hiyo. Aidha wakazi wengine wanawalaumu viongozi wao kwa kutotafuta suluhu ya kudumu ya kutatua tatizo la uhaba wa maji. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited